Libros importados hasta 50% OFF + Envío Gratis a todo USA  Ver más

menú

0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional
portada Shinda Kivuli Kinacho Teketeza Afya Na Mafanikio Yako: Gundua Siri YA Kutibika Na Kufanikiwa Maishani (en Swahili)
Formato
Libro Físico
Idioma
Swahili
N° páginas
160
Encuadernación
Tapa Blanda
Dimensiones
22.9 x 15.2 x 0.9 cm
Peso
0.24 kg.
ISBN13
9789987942138

Shinda Kivuli Kinacho Teketeza Afya Na Mafanikio Yako: Gundua Siri YA Kutibika Na Kufanikiwa Maishani (en Swahili)

Robert R. Mndeme (Autor) · Vital World Projects · Tapa Blanda

Shinda Kivuli Kinacho Teketeza Afya Na Mafanikio Yako: Gundua Siri YA Kutibika Na Kufanikiwa Maishani (en Swahili) - Mndeme, Robert R.

Libro Físico

$ 18.36

$ 22.95

Ahorras: $ 4.59

20% descuento
  • Estado: Nuevo
Se enviará desde nuestra bodega entre el Viernes 26 de Julio y el Lunes 29 de Julio.
Lo recibirás en cualquier lugar de Estados Unidos entre 1 y 3 días hábiles luego del envío.

Reseña del libro "Shinda Kivuli Kinacho Teketeza Afya Na Mafanikio Yako: Gundua Siri YA Kutibika Na Kufanikiwa Maishani (en Swahili)"

Unajua siri iliyofichika kwenye hisia hasi za woga, shaka, wasiwasi, hasira, chuki, kinyongo na hisia hasi nyingine zote? Umeshajiuliza au kutafakari kwa kina, mahusiano yaliyopo kati ya hisia hasi (negative emotions) na kile kinachoitwa kukosa bahati, maendeleo au kutofanikiwa maishani? Je hisia hizi zina uhusiano gani na matukio hasi kumuandama mtu hadi kumkwamisha kabisa kimaisha? Unajua ni kiasi gani cha uharibifu wa kinga ya mwili kinachofanywa na hisia hizi? Unajua siri iliyopo kati ya hisia hizi na usugu wa magonjwa au magonjwa mapya? Unajua nini kuhusu chimbuko la afya ya asili toka ndani yako mwenyewe; inavyokwamishwa na kuteketezwa na hisia hasi? Unapoelimika na kuerevuka kwa kina kuhusu dhana nzima ya hisia hasi kwenye mchakato wa maisha yako (emotional intelligence), unazinduka na kutambua kwamba, kuwa na afya yote na kufanikiwa maishani ni jambo lisilopingika kwa namna yeyote, na ni haki yako ya msingi kama mwanadamu inayopatikana hata kama umezungukwa na mazingira magumu kiasi gani. Unapozinduka toka kwenye usingizi wa kiufahamu (hypnotic sleep) unaosababishwa na kupumbazwa na hisia hasi, unatambua kuwa afya ya msingi inayotafutwa kote duniani, haianzii kwenye aina yeyote ya dawa, wala nje kwenye mazingira yako, bali inaanzia ndani kabisa kwenye shina la ufahamu unaojenga utu wako, ulio uasili wa mwanadamu. Unapokomaa kwenye utambuzi mpya baada ya kujikomboa kutoka kwenye kivuli kizito kilichojengwa na hisia hasi, unaelewa kuwa ufahamu unaoasilisha utu wako ni nyezo ya kazi, uzalishaji na ustawishaji wa jamii iliyopevuka na kustaarabika. Unatambua pia kuwa ufahamu huo ni chombo cha kuasisi na kurutubisha maadili ya utu wa mtu, kuanzia kwa mtu mmoja, familia hadi ukombozi wa kupatikana kwa Utu wa Taifa la Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Opiniones del libro

Ver más opiniones de clientes
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)

Preguntas frecuentes sobre el libro

Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.

Preguntas y respuestas sobre el libro

¿Tienes una pregunta sobre el libro? Inicia sesión para poder agregar tu propia pregunta.

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes